FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO KWANZA NA CHA TANO ZINAPATIKANA, BONYEZA HAPA AU LINKI YA DOWNLOADS KUZIPATA
events-xl-img1.jpg

MTIHANI WA USAILI KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021

MTIHANI (USAILI) UTAFANYIKA HAPA SHULENI TAREHE 31 OCTOBA, 2020 SIKU YA JUMAMOSI SAA 2:00 ASUBUHI.

MWANAFUNZI AJE NA FOMU IKIWA IMEBANDIKWA PICHA. MWANAFUNZI ATAJITEGEMEA KWA GHARAMA ZOTE.